TAWI LA CCM UHURU NA MZALENDO
Wednesday, September 3, 2014
Wajumbe wa Halmashauri ya CCM Kata ya Jangwani wakiwa katika kikao cha Hamlashauri ya Kata Jumapili ya tarehe 31/8/2014
Wajumbe wa Halmashauri ya Kata ya Jangwani Ndugu Mussa Hassan na Ndugu Mosses Makambi wakiwa katika kikao
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata ya Jangwani. Kuanzia kulia ni Ndugu Mpondachuma, Bi Rehema Msangule na Bi Aziza Kabunju
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala Ndugu Asaa Simba akifungua kikao cha Halmashauri ya CCM Kata ya Jangwani
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)