Sunday, January 26, 2014



Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uhuru na Mzalendo akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Kata ya Jangwani Ndg. Mohammed Bawazir alipolitemmbelea Tawi hilo na kutoa vifaa vya michezo.

Friday, January 24, 2014

MWENYEKITI WA CCM KATA YA JANGWANI NDG. MOHAMMED BAWAZIR AKIKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TAWI LA CCM UHURU NA MZALENDO




Picha ya pamoja ya baadhi ya wajumbe wa Halmashauri ya CCM Tawila Uhuru na Mzalendo, viongozi w michezo na Mwenyekiti wa Kata ya Jangwani Ndugu Mohammed Bawazir baada ya kukabidhiana vifaa vya michezo.

MAKABIDHIANO YA VIFAA VYA MICHEZO TOKA KWA MWENYEKITI WA CCM KATA YA JANGWANI NA MWENYEKITI KWA TAWI LA CCM UHURU NA MZALENDO





Mwenyekiti wa CCM Kata ya Jangwani Ndg. Mohammed Bawazir akikabidhi Jezi kwa Katibu wa Timu ya Uhuru na Mzalendo Ndg. Rashid Zahor; katikati ni Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uhuru na Mzalendo Ndg. Chamwingi Mpondachuma