Wednesday, September 3, 2014
Sunday, January 26, 2014
Friday, January 24, 2014
MWENYEKITI WA CCM KATA YA JANGWANI NDG. MOHAMMED BAWAZIR AKIKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TAWI LA CCM UHURU NA MZALENDO
Picha ya pamoja ya baadhi ya wajumbe wa Halmashauri ya CCM Tawila Uhuru na Mzalendo, viongozi w michezo na Mwenyekiti wa Kata ya Jangwani Ndugu Mohammed Bawazir baada ya kukabidhiana vifaa vya michezo.
MAKABIDHIANO YA VIFAA VYA MICHEZO TOKA KWA MWENYEKITI WA CCM KATA YA JANGWANI NA MWENYEKITI KWA TAWI LA CCM UHURU NA MZALENDO
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Jangwani Ndg. Mohammed Bawazir akikabidhi Jezi kwa Katibu wa Timu ya Uhuru na Mzalendo Ndg. Rashid Zahor; katikati ni Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uhuru na Mzalendo Ndg. Chamwingi Mpondachuma
Friday, January 17, 2014
VIONGOZI WAKUU WA KATA YA JANGWANI
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Jangwani Ndg. Mohammed Bawazir
Katibu wa CCM Kata ya Jangwani Ndg. Majala Balawa
Subscribe to:
Posts (Atom)




